2

Sofa Set la L la Watu 4500,000 TZS Fixed
Set Price Alert

Find it expensive?

BUY NOW!

Category For the home | Furniture
Condition Brand New
Price Type Fixed
Contact No: +255753604953
View Details

njoo ujipatie sofa set la l la watu wanne lililotengenezwa kwa mbao ngumu na kitambaa kizito kabisa aina ya velvet rangi ya blue bahari ila kwa kuwa kwetu mteja ni mfalme basi una haki na uhuru wa kuchagua design na kitambaa ukipendacho kama leather au velvet.
tupo mwenge lufungila nyuma ya calabash pub, tuna fungua ofisi saa3 asubuhi mpaka saa12 jioni kila siku.
kwa mawasiliano zaidi tupigie kupitia namba yetu ya 0753604953
smart furniture empire

Do you have
something to offer?

POST FREE AD

Similar Products


More products from Info Bizcyclone
smart furniture empire