0

SMARTLOCKSFixed

Category Everything Else | Everything Else
Condition Brand New
Price Type Fixed
Contact No: +255653775359
View Details

Habari, Garnite company limited tunawaletea kitasa cha kisasa ambacho kinauwezo wa kukifungua kwa kutumia funguo/password/fingerprint/card na application ya simu

Ikiwa pia na uwezo wa kutumia Bluetooth na kuwezesha kufunfa na kufungua mlango kwa umbali usiozidi mita 15

Inatumia battery na itakutaarifu pindi inapokaribia kuisha na pia haishiki kutu

Bei inaanzia 420,000/= to 720,000/=
Garnite Co Ltd

Do you have
something to offer?

POST FREE AD

Similar Products


More products from Info Bizcyclone
Garnite Co Ltd