2

Kudhibiti Uzito Na Unene,kitambi,Nk.Fixed

Category Personal | Health & Beauty
Condition Brand New
Price Type Fixed
Contact No: +255772686987
View Details

IJUE AFYA YAKO NA KUCHUKUA HATUA.(UZITO NA KITAMBI). Kwanini ni mhimu kudhibiti uzito au kitambi??-kuwa na monekano mzuri-kuepuka kuzeeka mapema-kupunguza matatizo ya viungo kama miguu-kupunguza kasi ya magonjwa yasiyo ambukizi mfn.pressure, kisukari,kansa,moyo,figo,saratani ya tezi dume, kupata ugumba,upungufu wa nguvu za kiume na vimbe katika kizazi kwa wanawake.Je umewahi kujiuliza maswali haya ?a)Kwanini unanenepa?b)Kwanini unataka kupungua?c)Njia gani salama kiafya kutumika ili kupungua.Njia kuu tatu watu wengi hutumia.i) Mazoezi, vyakula bora na kunywa maji mengiii) Kufanya diet mfano,kuacha kula au kutumia vyakula vyepesi, mboga na matunda (suicidal dieting)iii) Kutumia bidhaa lishe yaani nurition supplements.IJUE FOREVER C9 YENYE VANILLA AMINOTEIN Clean 9 ni program ya siku tisa iliyoandaliwa maalum kuuandaa mwili wako katika safari ya kupungua uzito, program hii ina bidhaa tano yaani -Aloe vera gel -Ultra lite vanilla -Forever garcinia -Forever therm -Forever fiber KAZI ZAKE MWILINIA) ALOE VERA GEL-Husafisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ili kuruhusu chakula kumeng'enywa kwa wakati hivyo kuuzesha mwili kupunguza uwezo wa kubadili wanga kuwa mafuta-Husafisha sumu na uchafu utokanao na vyakula, vinywaji, hewa, dawa za hospitali mfano,chips, vumbi, AC, hivyo kuupa mwili nafasi ya kuunguza mafuta-Huimarisha kinga ya mwili kwani hulisha seli moja kwa moja-Husaidia pia kuyeyusha vimbe.B) THERM-Huongeza kiwango cha joto la mwili hivyo kurahisisha uchomaji wa mafuta yaliyoganda chini ya ngozi-Hufungua vitundu vya ngozi kuruhusu uchafu utokao kwa njia ya jasho kutoka kwa urahisi.C) GARCINIA-Hubadili mafuta yaliyotunzwa mwilini kuwa nishati hivyo kuruhusu mwili kutumia akiba ya chakula kilichopo na kupunguza hitaji la chakula toka nje..-Hupunguza hamu ya kula ovyo kwani hutoa taarfa kupitia nerves juu ya kutosheka kwa mwili hivyo hurahisisha upunguaji.D) FIBER-Hizi ni nyuzi nyizi mhimu kwaajili ya kuboresha mfumo wa usagaji chakula kwani husaidia bacteria rafiki katika utumbo kuzaliwa hivyo kuufanya utumbo kumeng'enya chakula kwa urahisi-Hukaa tumboni kwa mda mrefu hivyo kukufanya ujihisi kushiba na hatimae kuepuka kula vyakula mara kwa mara.E) ULTRA LITE VANILLA-Huu ni mchanganyiko wa unga wenye protein ya mimea kama soya beans, husaidia kuimarisha misuli na kuboresha seli-Ni lishe tosha kwani huujenga mwili kwa nyama baada ya kuondoa mafuta. KUMBUKAhizi sio dawa bali ni virutubishoEpuka unene kula vizuri,kunywa maji mengi na fanya mazoezi.Kama wewe muhanga wa tatizo hili la uzito mwingi,na manyama uzembe na kuwa na kitambi,kufanya mamuzi ya maradhi tofauti yasio ambukizi,ili kujakuepusha garama za matibabu,kama ndugu,jamaa,marafiki katika jamii unomuona yupo katika hali hiyo ni vizuri nawe kumpatia ushauri nasaha kuondokana na tatizo hili.Kwa ushauri na kihuduma ya kiafya wasiliana Nasi, WhatsApp, 255772686987.Inbox, 255626851233.Afya ndio utajiri wako.Kinga ni bora kuliko Tiba.
Omari Mwadini

Do you have
something to offer?

POST FREE AD

Similar Products


More products from Info Bizcyclone
Omari Mwadini