Shamba linauzwa,Lina document zote halali,lina ukubwa wa eka 15 lipo Bagamoyo Fukayosi,bei nafuu sana ni sh 7,000,000 tu,Shamba ni zuri sana na lote lipo tambalale,halina bonde wala milima,lipo flat kabisa,Lina ardhi nzuri sana na linafaa kwa maendeleo ya aina yoyote,kwa mawasiliano zaidi call 0783552285 or WhatsApp no 0755053536