Description :
nyumba nzuri ya kisasa inauzwa. ipo mwandege (chatembo). ipo sehemu nzuri sana karibu na stendi zinapogeuzia daladala. huduma zote ikiwemo maji na umeme zipo. ina vyumba vitatu vikubwa na master moja. mashimo ya choo yameshakamilika. bei ni 32m mazungumzo yapo kidogo. kwa anayehitaji tuwasiliane kwa namba 0786427181. hakuna dalali ukihitaji kuona nakupeleka. karibuni sana
Category: Real Estate
Property type HOUSE
Status New construction
Square Meters 0