Description :
nyumba inavyumba vi3 vya kulala kimoja master bedroom ina seeting room dinning room kitchen store public toilet umeme upo maji yapo nyumba ipo vizuri, ipo umbali wa kilometer 1 na robo kutoka morogoro road eneo lake ni sqm 300 documents ina offer, njoo ukague tufanye biashara garama kupelekwa saiti kuona ni elfu 15 location kinondoni magomeni mapipa
Category: Real Estate
Property type HOUSE
Square Meters 0