Description :
nyumba inavyumba vi3 vya kulala kimoja master bedroom ina seeting room dinning room kitchen store public toilet umeme upo maji yapo nyumba ipo vizuri, pia haipo mbali na barabara kubwa, njoo ukague tufanye biashara garama kupelekwa saiti kuona ni elfu 15 location ilala msongola santiago
Category: Real Estate
Property type HOUSE
Square Meters 0