NYUMBA ZA BIASHARA ZINAUZWA BEI POA KINONDONI

Posted: 26 Nov 2021 | 04:00 | 0 views   

Share On

Share On


Description

Realty Type: Apartment
Price type: Fixed
Price:
30000000.00 TZS
Available from: 26 Nov 2021
Address: Dar es Salaam
Description :

Nyumba za biashara zinauzwa Bei nafuu maeneo ya kinondoni Zina hati Nyumba zipo sehemu zenye mizunguko ya biashara apo kinondoni Kuna za milioni 100 na 75, 50, 30 zipo za kwenye Conner na zingine zinatazama Barabara za lami za mitaa zenye biashara waweza kubomoa na kujenga fremu mpya zingine waweza endeleza biashara gari inafika kirahisi nyumba zote zimepimwa hakuna Ubabaishaji.Kwa mahitaji ya Viwanja vya kujenga Apartments za kisasa au nyumba za biashara km mafremu ya maduka, maeneo yote Jiji la DAR tupigie simu tukusaidie.

Category: Real Estate
Property type HOUSE
Status New construction
Square Meters 0

Additional Detail

Contact

Contact Person: Chriss Real Estate Agency Tz.

View Contact Details

Location

Similar Realty