Viwanja Viwanja Tunauza Na Kukopesha

Posted: 14 Feb 2020 | 22:55 | 0 views   

Share On

Share On


Description

Realty Type: Land
Price type: Fixed
Price:
1500000.00 TZS
Available from: 15 Feb 2020
Address: Dar es Salaam
Description :

mkopo wa viwanja chanika
karibuni chanika tuna mradi mpya maeneo yafuatayo

chanika kibaoni
bei ni mil moja na laki saba hadi mil mbili na laki mbili ( 1.7 ) hadi ( 2.2 ) m
size ya kiwanja 20*20$ qmter 400

chanika namanga
vipo mita mia tatu kutoka barabara kuu ya lami
bei kuanzia mil mbili hadi mil mbili na nusu kwa kiwanja kimoja cha 20 kw 20-qmter 400(price )2ml na 2.5., chanika kidole
viwanja vya kidole vinapatika jirani na barabara ya
vinapakana na lami
bei ya kidole ananzia mil 2 na nusu hadi mil 3 kwa kiwanja cha 20 * 20
price ( 2 mil hadi 3 mil )

chanika kiboga
viwanja vya kiboga bei yake inaanzia mil moja tu hadi mil na nusu kwa kiwanja cha 20 * 20( 1 mil hadi 1.5 )
nb
size ya viwanja unaweza kuunganisha ukapata ukubwa unao taka kuanzia
qmter 400 nk
20 kw 20
20 kw 40
40 au 40 au 20 kw 80 kwa urefu
utaratibu wa mkopo
utatoa pesa fulani inayo bakia utalipa kidogo kidogo ndani ya mdaa fulani una malizia
kwa mawasiliano
?? 0712 83 22 63

Category: Real Estate
Property type HOUSE
Status New construction
Square Meters 0

Additional Detail

Contact

Contact Person: Masaki

View Contact Details

Similar Realty