3

TIBA YA MARADHI YA NGOZI

15 Feb, 2020 03:55 am 0 views

  • Descriptions
  • Video

Descriptions


dawa ya ngozi iliyo kua kwenye mfumo wa sabuni kiboko ya chunusi sugu na mabakaaloe soap sabuni za mimea,asali,mchai chai na mafuta ambazo zimetengenezwa katka maabara na kuthibitishwa na shirika la afya, hufanya kazi nyingi na za maajabu.1?_ kuondoa chunusi sugu na madoa yaliyoshindikana., hutengeneza seli zilizokufa kwa kuondoa rangi ya madoa, alama za kuungua ktka ngozi na kupunguza mlundikano wa mafuta unaosababisha chunus zisizokwisha.2?_hutumika kushevia na kuondoa harufu mbaya ya jasho kali (kikwapa)ukitumia kushevia italinda hali ya kutoka na mapele yatokanayo na wembe, na huyaponya yote kama tayari yalishatokea, hufanya mwili kuwa mwepesi zaid kwa kuondoa jasho kali la kikwapa.3?_huondoa weusi makwapan na sehemu za siri., huondoa rangi yote isiyohitajika katika ngoz na kuiacha rangi moja tu yenye kupendeza ikibaki na asili yake4?_huondoa mikunyanz na kuzuia hali ya midomo kupasuka. hupambana na hali ya ngoz kuchoka mapema na kurudisha unyevunyevu katka ngoz kwa kuondoa mikunjo mikunjo5?_hutibu fangasi za miguu na magaga.huripea ngozi iliyofubaa kwa kuondoa magaga madogo madogo na fangasi za miguu kwa wale wanaovaa viatu kwa muda mrefu.6?_hutibu m,ba mapunye na utangatanga._ inafaa sana kwa watoto wenye mapunye, inayatibu na kuimarisha ngozi zao kwani ni tofaut na sabun za kawaida, hali kadhalika hutumika kuoshea nywele kwa wenye m,ba kichwani na kuondoa utangatanga kwa jinsia zote.7?_tumia kwa ulinzi tosha wa ngoz yako.pia unaweza kuitumia hata kama hauna tatizo lolote, kwani ni tofauti kabisa na sabuni nyingine., huondoa hali ya miwasho ya ajabu ajabu.nb; hi ni afya! na povu lake pia huondoa sumu mwilin na kung'arisha ngozi yako, haina kemikal 100% haichubui ni ya asili, hutumiwa na wote,bei ni sawa na bure 3picies 30,000 tuu. inakufikia popote ndani ya dar essalaam.kwa mahitaji call me through 0688184620/0718069047. pia tunahuduma ya vipimo vya mwili mzima kwa tsh 15,000.

Category: Services

Video

Video not available

Jacob


Member Since

Oct 2018Similar Services

More Services from Info Bizcyclone