6

MIHURI YA KISASA

17 May, 2020 04:07 am 0 views

  • Descriptions
  • Video

Descriptions


tunauza na kutengeneza mihuri ya kisasa.
vifaa mbalimbali vinapatikana
-self inks (majumba ya mihuri)
-wino rangi mbalimbali za mihuri
-seal
-stamp pads n.k

mihuri binafsi uwe copy ya kitambulisho cha taifa.

mihuri ya kampuni uwe na tin number na copy ya kitambulisho cha taifa.

mikoani tunatuma kwa njia ya haraka ya posta ya ems gharama ni juu ya mteja ambayo 15000, mzigo utafika popote tanzania.
0712132888
0759143420
dodoma

Category: Services

Video

Video not available

Folota Rubber Stamp


Member Since

Oct 2018More Services from Info Bizcyclone