1

REPORTS WRITING

23 Nov, 2021 04:00 am 0 views

  • Descriptions
  • Video

Descriptions


C-GENERATION,
Tunatoa huduma ya uandishi wa report za aina mbalimbali.
Tunaandika report zenye hadhi na zenye kuzingatia kanuni zote za uandishi.

Report za maofisini.
Report za vikao.
Report za project mbalimbali.
report kwa wanafunzi wa chuo.
report za Tafiti mbalimbali.

Tunaandika kila aina ya report inayofahamika duniani.
Bei zetu ni Nafuu zaidi.
Report yako inaandikwa kwa muda mfupi na kwa kuzingatia kanuni zote za uandishi.
Tunatumia lugha mbili tuu kuandika report (english and swahili).

Usipoteze muda wako kuangaika kuandika report.
Tumia muda wako kufanya kazi nyingine.
Report tuachie sisi C-GENERATION.

Gharama inategemea na aina ya report ambayo unahitaji kuandikiwa.
Malipo ni baada ya kupokea kazi yako.

we are the best in writing .

Mawasiliano:
WhatsApp : +255674574112.
Call/SmS : +255747454593.

Category: Services

Video

Video not available

Augustino Ngatunga


Member Since

Oct 2018More Services from Info Bizcyclone