8

Samsung S8 duos

25 Feb, 2022 04:00 am 0 views

  • Descriptions
  • Video

Descriptions


Simu inashida moja ambayo display kuonyesha kwake ni lazima either uweke brightness full au at the very lowest level katika simu ila ukiweka at the middle inaonyesha lakini katika red display brightness lakini still inafanya kazi vizuri bila shida hamna shida nyingine yoyote zaidi ya hiyo simu ni nzuri sana na nawakaribisha kwa yoyote mwenye interest nayo, Maelewano yapo pia.

Category: Services

Video

Video not available

Emmanuel Julius


Member Since

Oct 2018More Services from Info Bizcyclone