4

SubMeter

02 Mar, 2022 04:00 am 0 views

  • Descriptions
  • Video

Descriptions


Tunafunga SubMeter kwa kusoma matumizi ya units za umeme hasa kwenye vyumba vya wapangaji, ili kuepunga usumbufu wa kununua umeme ambao hujautumia, inakubidi ulipe kulingana na matumizi yako yatakayosoma kwenye mita yako pekeyako. Karibuni

SubMeter
Tunafunga SubMeter kwa matumizi ya nyumba za kupanga na kadhalika, kutatua tatizo la kulipa umeme
* Tunatengua na kutoa Short circuit
* Tunatengua uvujaji wa umeme ( leakage current)
Tunakufata ulipo

Category: Services

Video

Video not available

KINGS STORE


Member Since

Oct 2018More Services from Info Bizcyclone